TBConline
TBConline
  • 19 816
  • 44 553 324

Відео

#TBC: TRILIONI 1.2 KUBORESHA SHAMBA LA MKULANZI
Переглядів 2410 годин тому
#TBC: TRILIONI 1.2 KUBORESHA SHAMBA LA MKULANZI
#TBC: JUMUIYA YA SIKH YAONESHA UZALENDO KWA WATANZANIA
Переглядів 7811 годин тому
Download the "TBC Live" app or visit our website, www.tbc.go.tz , to get the most recent news updates. TBC Live: tbc.go.tz/wp-content/uploads/... App Store (iOS): apple.co/31Yxjta Do follow us on social media as well: Twitter account: TBConlineTZ Instagram: tbc_online Facebook: TBConlineTZ
#TBC1 TANZANIA KIJANI MANUFAA YA SHAMBA LA MITI WINO
Переглядів 15012 годин тому
#TBC1 TANZANIA KIJANI MANUFAA YA SHAMBA LA MITI WINO
#TBC: TUILINDE TANZANIA DHIDI YA MITANDAO INAYOPOTOSHA
Переглядів 10814 годин тому
#TBC: TUILINDE TANZANIA DHIDI YA MITANDAO INAYOPOTOSHA
#TBC: KISHINDO CHA DKT MWINYI: UJENZI WA BANDARI YA MPIGA DURI KUFUNGUA FURSA ZA UWEKEZAJI ZANZIBAR
Переглядів 6642 години тому
#TBC: KISHINDO CHA DKT MWINYI: UJENZI WA BANDARI YA MPIGA DURI KUFUNGUA FURSA ZA UWEKEZAJI ZANZIBAR
#TBC1:VIJANA NA UCHUMI WA KIDIGITALI
Переглядів 402 години тому
#TBC1:VIJANA NA UCHUMI WA KIDIGITALI
#TBC: HUDUMA ZA KUSAFISHA FIGO TEMEKE YAANZA KUTOLEWA
Переглядів 562 години тому
#TBC: HUDUMA ZA KUSAFISHA FIGO TEMEKE YAANZA KUTOLEWA
#TBC: CHINA YASHUHUDIA UKUAJI MKUBWA WA TEKNOLOJIA KATIKA URUSHAJI WA NDEGE
Переглядів 1,7 тис.4 години тому
#TBC: CHINA YASHUHUDIA UKUAJI MKUBWA WA TEKNOLOJIA KATIKA URUSHAJI WA NDEGE
#TBC: TUNATEKELEZA- MAENEO KOROFI DAR YAPATA AHUENI
Переглядів 1167 годин тому
#TBC: TUNATEKELEZA- MAENEO KOROFI DAR YAPATA AHUENI
#TBC: TRENI YA KISASA HAITAUA USAFIRI MWINGINE
Переглядів 2537 годин тому
#TBC: TRENI YA KISASA HAITAUA USAFIRI MWINGINE
#TBC: KOVA FOUNDATION YAKABITHI VIFAA VYA UOKOAJI
Переглядів 457 годин тому
#TBC: KOVA FOUNDATION YAKABITHI VIFAA VYA UOKOAJI
#TBC1: ATCL YAWASHAWISHI WADAU KUTUMIA NDEGE ZAO DUBAI
Переглядів 3437 годин тому
#TBC1: ATCL YAWASHAWISHI WADAU KUTUMIA NDEGE ZAO DUBAI
#TBC KISHINDO: TUME YA MIPANGO YA MATUMIZI YA ARDHI
Переглядів 11412 годин тому
#TBC KISHINDO: TUME YA MIPANGO YA MATUMIZI YA ARDHI
MZEE MANARA AFANYIWA UPASUAJI WA MAGOTI BANDIA MLOGANZILA
Переглядів 10312 годин тому
MZEE MANARA AFANYIWA UPASUAJI WA MAGOTI BANDIA MLOGANZILA
#TBC1: TAKWIMU ZA MAGONJWA YA SARATANI BADO NI TISHIO NCHINI
Переглядів 9514 годин тому
#TBC1: TAKWIMU ZA MAGONJWA YA SARATANI BADO NI TISHIO NCHINI
#TBC1: WAZAZI NA WALIMU | MWAROBAINI WA MALEZI BORA KWA WATOTO
Переглядів 6214 годин тому
#TBC1: WAZAZI NA WALIMU | MWAROBAINI WA MALEZI BORA KWA WATOTO
#TBC: WAHITIMU WA VYUO VIKUU WAHIMIZWA KUCHUKUWA FOMU ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
Переглядів 30814 годин тому
#TBC: WAHITIMU WA VYUO VIKUU WAHIMIZWA KUCHUKUWA FOMU ZA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA
#TBC: MTANZANIA MWENYE KAMPUNI DUBAI
Переглядів 66614 годин тому
#TBC: MTANZANIA MWENYE KAMPUNI DUBAI
#TBC: HIKI PIA NI CHANZO CHA MAWE KWENYE FIGO
Переглядів 15619 годин тому
#TBC: HIKI PIA NI CHANZO CHA MAWE KWENYE FIGO
#TBC2LIVE WAPI LEO : TUPO SITE MTONI MTONGANI KUKOMESHA TAKATAKA
Переглядів 10419 годин тому
#TBC2LIVE WAPI LEO : TUPO SITE MTONI MTONGANI KUKOMESHA TAKATAKA
#TBCONLINE: TGDC TUMENUIA LAZIMA TUPATE NISHATI SAFI YA JOTO ARDHI
Переглядів 5619 годин тому
#TBCONLINE: TGDC TUMENUIA LAZIMA TUPATE NISHATI SAFI YA JOTO ARDHI
#TBC: MTAALAM WA KILIMO WA TANZANIA NA MATUMAINI YA MKUTANO WA CHINA NA AFRIKA KATIKA KILIMO
Переглядів 11119 годин тому
#TBC: MTAALAM WA KILIMO WA TANZANIA NA MATUMAINI YA MKUTANO WA CHINA NA AFRIKA KATIKA KILIMO
#TBC1: LISHE KWA KINA MAMA WAJAWAZITO NA WATOTO YAPIGIWA CHAPUO DAR ES SALAAM
Переглядів 4919 годин тому
#TBC1: LISHE KWA KINA MAMA WAJAWAZITO NA WATOTO YAPIGIWA CHAPUO DAR ES SALAAM
🔴#TBCLIVE: BUNGE LA 12 MKUTANO WA 15, KIKAO CHA AROBAINI NA TATU
Переглядів 19319 годин тому
🔴#TBCLIVE: BUNGE LA 12 MKUTANO WA 15, KIKAO CHA AROBAINI NA TATU
Copy of 🔴#TBCLIVE: BUNGE LA 12 MKUTANO WA 15, KIKAO CHA AROBAINI NA TATU
Переглядів 5119 годин тому
Copy of 🔴#TBCLIVE: BUNGE LA 12 MKUTANO WA 15, KIKAO CHA AROBAINI NA TATU
#TBC: WANASAYANSI WA CHINA NA TEKNOLOJIA YA KUUNDA AINA NDOGO YA TIKITI MAJI
Переглядів 22021 годину тому
#TBC: WANASAYANSI WA CHINA NA TEKNOLOJIA YA KUUNDA AINA NDOGO YA TIKITI MAJI
JOKATE KATIKA MAPAMBANO YA AFYA YA AKILI: "VIJANA KUNYWENI POMBE KWA WASTANI"
Переглядів 149День тому
JOKATE KATIKA MAPAMBANO YA AFYA YA AKILI: "VIJANA KUNYWENI POMBE KWA WASTANI"
#TBC: 12 KIZIMBANI KWA KUJIPATIA FEDHA KWA NJIA YA UDANGANYIFU
Переглядів 213День тому
#TBC: 12 KIZIMBANI KWA KUJIPATIA FEDHA KWA NJIA YA UDANGANYIFU
#TBC1:TBCSHAMBANI | KESHO BORA | FAHAMU FURSA KATIKA KILIMO CHA MITI
Переглядів 418День тому
#TBC1:TBCSHAMBANI | KESHO BORA | FAHAMU FURSA KATIKA KILIMO CHA MITI

КОМЕНТАРІ

  • @ukuvukiland2387
    @ukuvukiland2387 45 хвилин тому

    Tujitenge kimapato ya unyonyaji hatutaki ukandamaziji ,mapato yanuafaishe mikoa bunafsi.kwa maslahi ya taifa na uzalendo ,south africa kuna Soweto.

  • @IsackJoseph-jt3hk
    @IsackJoseph-jt3hk Годину тому

    Mtu WA maana sana bashe

  • @ukuvukiland2387
    @ukuvukiland2387 2 години тому

    Nice speech mimi niko ulaya umaskini unanzia kwenye vyakula vya ndani ya nchi,nakumbuka kipindi korona ,kwa nini serikali isiwekeze kwa wakulima huru kwa maslahi ya ya taifa.kunani paleee.kimataifa kuna hotel numefanya kazi naona nembo ya bidhaa ya nyumbani halafu watu wa nyumbani wanakufa njaa ,mnataka tuende na mabepari au..kwa taarifa yenu brown sugar ndio sukari ghali ulaya ianitwa bio sugar came from nature not artificially,waulizeni wajamaika kipindi cha utumwa.

  • @RajabuMkonje
    @RajabuMkonje 6 годин тому

    Ongea kiswahili achana na kingereza chako cha kijinga

  • @mcgabby
    @mcgabby 7 годин тому

    Duuuuuuh kumbe Mpina sio Waziri ni Mbungeee..?? Wamama amkeni jamani😢😢😢

  • @SalminTenga-fx6wi
    @SalminTenga-fx6wi 8 годин тому

    Hongera mh rais

  • @frolingrwela926
    @frolingrwela926 8 годин тому

    Hongera sana kamanda Abraham Kamwela Katibu CWT-Dar es salaam.

  • @aminaisuja6081
    @aminaisuja6081 9 годин тому

    Namba no zake please za huyo kaka

  • @user-gn8vu3tb4h
    @user-gn8vu3tb4h 9 годин тому

    Vp bei kwa walala hoi mnawasaidis je jamani

  • @AnsyOkido
    @AnsyOkido 9 годин тому

    Bado ni uonevu tu, watoe nusu yani 50% kwani wafanyakaz wengi hawajajiwekeza kutokana na mazingira magumu ya maeneo wanayofanyia kaz. Hivyo tusaidiane maisha ili stress na vifo vikome.

  • @ConsolataShombe
    @ConsolataShombe 9 годин тому

    Unatuwakilisha vizur kaka#kamwela#

  • @gracemdemu8391
    @gracemdemu8391 10 годин тому

    Hongera Kamwela.kitu ya Arusha hiyo.tunakukumbuka sana sana.

  • @yvonneivo6617
    @yvonneivo6617 10 годин тому

    Safi sana kamwela.

  • @mosesfrancois752
    @mosesfrancois752 11 годин тому

    Kama ukiwa mnyonge unaweza hisi anaongea vya maana ,kumbe wote ujinga mtu, Bei ya sukari ni ngapi saiv? Mtu aliekataa upuuzi kiukweli ukweli bila siasa Magufuri tu ndio maana wakamfinya goma lilinyooka kuliko mnyooko wenyewe

  • @mosesfrancois752
    @mosesfrancois752 11 годин тому

    Ivi yule Mwabukusi bado yupo 😄😄 aliepinga mradi wa feli

  • @gabrielgwawu4026
    @gabrielgwawu4026 12 годин тому

    Mpina oyeeee.!!

  • @emmanuelmodest7457
    @emmanuelmodest7457 14 годин тому

    MPIGA DILI TU HUYU

  • @abdallahkihanza482
    @abdallahkihanza482 14 годин тому

    Kwa nini mnachanganya Kiswahili na kingereza, halafu nyie hao hao mnasema watu wahamasishe Kiswahili,

  • @mejamiela7436
    @mejamiela7436 15 годин тому

    Bashe maelezo yako ni mazuri lakin viwanda vyetu wahamasishaji n ninyi sasa mkisema walishindwa na ninyi mmeacha hvo hvo badala ya kutafuta solution huku viwanda vikiendelea mmeanza kuagiza nje ata hamna msimamo

  • @peterbalyagati7834
    @peterbalyagati7834 16 годин тому

    Unakwenda kuuwa viwanda, tusubiri matokeo, data hazifutiki

  • @Aida-qh3jq
    @Aida-qh3jq 16 годин тому

    Mm ninayoteseka na maisha yangu hata mia yenyewe nikiipata namshuku mungu je nikuhagaika na mawaziri wapi na wapi nikipa bado na najiona tajiri ewe mungu nisaidie nipate tonge la kulisha family yangu maish yaendelee hapa tunapita awe mbunge awe rais awe waziri tujue tunavuna nn mbele yake mungu

  • @firemnyangali5195
    @firemnyangali5195 16 годин тому

    Mbona vipasa sauti VYA wabunge viko chini sana ? Wabunge wanainama sana

  • @MudathirJamal
    @MudathirJamal 19 годин тому

    hivi kwanini mbunge unaongea uongo just in a totally desplay na wanao kuangalia au kukusikiliza inawezekana wanakuzidi elimu ,busara na akili ya kufikiria

  • @RobertSiwavula-jj4pj
    @RobertSiwavula-jj4pj День тому

    kwembolea hap zaluzuk mfum huo bad niwawapigaj tuu nawt wanaandokis namba zaluzuk hazitok badala yak kunawatu wananamba zambola mifuko had eluf 3000 mtu anatok vijiji had mji kufit mfuk moj nauli shingap

  • @AndendekisyeMalinga
    @AndendekisyeMalinga День тому

    Hunger kijana wangu

  • @user-ts9lp4rm9j
    @user-ts9lp4rm9j День тому

    Magari SIKU zijazo yatakuwa hayana faida

  • @anithasimbeye3256
    @anithasimbeye3256 День тому

    Asante sana nimeienda saaana

  • @BenPeter-vp2cy
    @BenPeter-vp2cy День тому

    Miaka takriban 50 imepita tangu nchi ipate uhuru .. ila mnachojua ni kukopa madeni tu na kutupiga tozo

  • @BarakaMachele
    @BarakaMachele День тому

    Bajeti itekelezwe..isiwe ya.makaratasi..tuu

  • @user-un7fi1qt7o
    @user-un7fi1qt7o День тому

    Ipo vzr na Mungu atusaidie yote yafanyike vzr

  • @EmanuelHosea-mo5bm
    @EmanuelHosea-mo5bm День тому

    Emanuel Hosea wa Songea Mjimwema, Hongereni TBC kwa kutuhabarisha habari nzuri kabisa

  • @malembobulongo3856
    @malembobulongo3856 2 дні тому

    Mmmmh Mungu tusaidie sana

  • @CarolLynah
    @CarolLynah 2 дні тому

    Watching from Norway🥳

  • @yohanajohn9239
    @yohanajohn9239 2 дні тому

    Sawa sawa

  • @user-du1zi8fx2w
    @user-du1zi8fx2w 2 дні тому

    But sema mm Sina laptop

  • @user-du1zi8fx2w
    @user-du1zi8fx2w 2 дні тому

    Na mm napenda kufanya kama ww

  • @Saning.oyohanasaitoSaito
    @Saning.oyohanasaitoSaito 2 дні тому

    CCM oyeeeeee 🎉🎉🎉🎉

  • @ahz6907
    @ahz6907 2 дні тому

    Hizi ni drones zizilochangamka😊

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari День тому

      Nawewe changamsha ungo wa bibi yako wakurukia

  • @amonmethod
    @amonmethod 2 дні тому

    Nyanchoka nae ana content sana angepewa nafasi akatoa madini😅

  • @CESSYHAROON
    @CESSYHAROON 3 дні тому

    The enthalapy

  • @CESSYHAROON
    @CESSYHAROON 3 дні тому

    Can i ask a question about hess law

  • @YahyaYusufu
    @YahyaYusufu 3 дні тому

    Kweliii kabisa

  • @Stevekapugi
    @Stevekapugi 3 дні тому

    Wachafu😂😂😂😂

  • @BaeOnnA
    @BaeOnnA 3 дні тому

    🔥🔥 value and impact

  • @user-ls2uj3fl1o
    @user-ls2uj3fl1o 4 дні тому

    Asante kwa kipindi kizuri naomba namba ya simu ya huyo jamaa

  • @brightontibenda2346
    @brightontibenda2346 4 дні тому

    Sio KWELI! Hasars Ni kubwa kuliko faida!

  • @Neemaamani-dj5dg
    @Neemaamani-dj5dg 4 дні тому

    Kwetu jamani ❤❤

  • @zaujamohamed6620
    @zaujamohamed6620 5 днів тому

    Safi sanaa

  • @ezekielmanase6590
    @ezekielmanase6590 5 днів тому

    Waziri Bashe muhesimiwa endelea kufanya KAZI kwenye nafasi yako inatosha . Ninakuombea mema yote mkuu... Unaongea yanayotoka moyoni mpaka nalia huku...

  • @ellyminja3658
    @ellyminja3658 5 днів тому

    Nice dadaa